Chini ya Usimamizi wa Manhaj Salaf

Mfumo wa Kisasa wa ERP na LMS kwa ajili ya Madrasa na Vyuo vya Kiislamu

Simamia wanafunzi, walimu, mitihani, ada, na masomo ya Dini kwa urahisi kupitia jukwaa moja salama na la kuaminika.

Omba Mfumo Leo Jifunze Zaidi

Sifa Kuu za Mfumo

Kila kitu unachohitaji ili kuendesha taasisi yako ya Kiislamu kidijitali

LMS (E-Learning)

Wanafunzi wanaweza kusoma masomo ya Aqidah, Fiqh, Hadith, na Quran mtandaoni kwa mfumo rahisi.

Multi-Tenant ERP

Kila Madrasa au Msikiti unapata mfumo wake wa kipekee wenye usimamizi wake binafsi wa kiutawala.

Manhaj Sahihi

Maudhui na usimamizi vinalinda misingi sahihi ya Kiislamu kulingana na Manhaj Salaf.

Islamic Education

Tunaleta Mapinduzi ya Kidijitali kwenye Elimu ya Dini

Madrasa.co.tz imeundwa maalum kusaidia Madrasa, Vyuo vya Kiislamu, na Misikiti kurahisisha shughuli za kila siku za kiutawala na ufundishaji.

  • Udhibiti kamili wa mahudhurio na matokeo ya wanafunzi.
  • Urahisi wa kuwakutanisha Walimu na Wanafunzi.
  • Mfumo salama unaoendana na mahitaji ya taasisi za Kitanzania.

Unganisha Taasisi Yako Leo

Je, unataka Madrasa au Msikiti wako utumie mfumo huu? Wasiliana nasi tukusaidie kuanza mara moja.